
GALA YA FUTARI tarehe 14 Machi, 2025.
MUWEZESHE ATEMBEE
Gala ya kuchangisha fedha kwa ajili ya matibabu ya miguu iliyopinda. Ungana na GSM Foundation kurejesha matumaini, uwe sehemu ya usiku wa ukarimu na kusudi, kukimu matibabu ya kubadilisha maisha kwa watoto wanaohitaji. Mchango wako unaweza kuwasaidia kutembea kwa ujasiri. Soma zaidi kuhusu miguu iliyopinda
Ushirikiano na
Hospitali za CCBRT




